Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. atizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.Upungufu wa nguvu za kiume husababishwa na mambo yafuatayo



SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME:

Mambo yanayopelekea kupunguwa kwa nguvu za kiume, uume kushindwa kusimama vizuri na kuwahi kufika kileleni ni:

- Uzee: Ni kawaia kwamba mtu anapozeeka basi mfumo wa wa mwili wote hupuguza uwezo wake wa asili katika kufanya kazi kwa mfano Kuona, Tutembea n.k Hii ni kwasababu seli za mwili zinakua zimechoka na seli zinazokufa ni nyingi kuliko zile zinazo zaliwa, Hali hii ina athili mpaka mfumo mzima wa uzazi na hivyo kupelekea kushindwa kufanya tendo la ndoa ipasavyo (upungufu wa nguvu za kiume)



- Kujichua/Punyeto: Hii hupelekea kulegea kwa mishipa muhimu inayozunguka Uume hivyo damu inashindwa kuzunguka kwa usahihi na nipo maumbile (uume) kua lege lege (upungufu wa nguvu za kiume)



- Kukosa Elimu ya vyakula: Vyakula kama Karanga, Pilipili, Nazi, Asali, Tende, Nyanya chungu, Matunda & Mbogamboga, Pweza, Maziwa, Chocklate, Parachichi na miogo ni baadhi ya vyakula muhimu katika kuimarisha nguvu za kiume.



- Kutokujishughulisha na mazoezi: Faida kubwa ya mazoezi ki kuimarisha mzunguko wa damu mwilini na kufungua mishipa ya damu iliyoziba na kazi ya damu ni Kusafirisha Hewa pamoja na kuusimamisha uume barabara hivyo Huimailisha nguvu za kiume. Damu inapozunguka kwa wingi katika uume Uume hua imara saana lakini damu ikiwa pungufu uume hua legelege (upungufu wa nguvu za kiume).



- Shinikizo la juu la damu

- Ugonjwa wa moyo

- Uvutaji sigara/tumbaku

- Utumiaji uliozidi wa kafeina.

- Kudhurika kwa neva au uti wa mgongo

- Madawa ya kulevya

- Kupungua kwa homoni ya testerone

- Athari kutoka kwa baadhi ya dawa

- Kisukari

- Uzinzi

- Pombe. n.k

Upungufu wa nguvu za kiume unasabaishwa na sababu nyiingi kama zilivyoainishwa hapo juu, Hata hivyo kuna namna mbali mbali za kuweza kuondokana na tatizo hili kabisa. Zingatia mazoezi, Kunywa maji kwa wingi, Zingatia vyakula bora vinavyosaidia kuimarisha nguvu za kiume (Karanga, nazi, matunda, mbogamboga, maziwa, pweza, samaki, Tangawizi, kitunguu swaumu, kitunguu maji,pilipili, na asali) Utaweza kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kabisa.

#nguvuzakiume, #tendolandoa.