NGUVU ZA KIUME kama nilivyoeleza hapo awali ni neno pana sana ila maana yake kwa ufupi, ni ile hali inayomkuta mwanaume katika kipindi cha maisha yake ambapo hujikuta akiwa na moja kati ya dalili zifuatazo:
*Kutoa manii/shahawa kidogo sana, nyepesi na dhaifu kiasi cha kushindwa kumpa ujauzito mwanamke
*Kuwahi sana kufika kileleni ndani ya dakika na kuchelewa kupata hamu ya kurudia tendo, wengine huenda mara moja tu kisha kuchoka na kulala usingizi
*Uume kuwa legelege kiasi unaweza kusimama lakini kitendo cha kuingiza tu ukeni, uume unanywea
Kinachosababisha mpaka mwanaume anakuwa katika hali hii ni magonjwa yoyote yanayoweza kuleta athari katika mzunguko wa damu kama kisukari, kiharusi, uzito kuwa juu au kolestro kuwa nyingi katika damu, haiba isiyo njema inayochangia kudhoofika kwa misuri na damu mfano ulevi wa pombe na mihadarati, ulaji mbovu au lishe duni mfano ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, nafaka zilizokobolewa n.k lakini pia asilimia kubwa ya wahanga wa nguvu za kiume ni kwa wale ndugu waliopitia maisha ya kujichua au bado wanajichua kwani kitendo hiki hudumaza saikolojia juu ya tendo la ndoa [kuzoea kuridhika kwa bao moja] na kudhoofisha misuri ya uume, kuufanya kuwa legevu au kusinyaa kuwa kama wa mtoto.
JINSI YA KUJINASUA
Kuanzia leo jitahidi kuwekeza katika hiki ninachokueleza, sijakuandikia eti kwa sababu nimesoma vitabu vingi, la hasha! Nakuandikia kitu ambacho binafsi nilikifanya na bado nakizingatia sana kwani kupungua nguvu za kiume ni jambo ambalo ki ukweli linakosesha kabisa amani ya moyo nyakati za usiku na furaha ya tendo la ndoa....
1: TUANZIE KWENYE VYAKULA:
Sio kila mlo ni wa kubugia, vyakula vingine huwa si vizuri haswa vyakula hivi vya kisasa. Kama mwanaume hakikisha katika milo yako ya siku nzima angalau unapata vyakula vitatu au zaidi katika orodha hii, hata kama ni mara tatu kwa wiki sio mbaya.
Vyakula kama chaza, pweza, tende, mbegu za maboga, asali ya nyuki wadogo, bamia, ndizi mbivu, mbegu za tikiti, pilipili, zabibu, mvinyo mwekundu, tangawizi, chai ya iliki na mdalasini, vitunguu saumu, viazi vyekundu, unga wa habat sawda, udishe au msamitu, ni vyakula ambavyo kazi yake katika mwili ni pamoja na kuchochea uzalishwaji wa homoni za kiume kwa wingi na kuleta mzunguko wa damu katika mishipa, hivyo hukuwezesha uume kujaa damu na kudumu kwa muda mrefu katika mishipa ya uume wakati wa tendo.
2: ZOEZI LA KEGEL
Cha kufanya: Lala chali, kunja miguu kuelekea kwenye kiuno kisha binua kiuno kuelekea juu kwa sekunde 15 kisha shuka tena binua kiuno kuelekea juu kwa raundi 15 hivi inatosha na kuongeza side plank [Mimi hulifanya zoezi hili ninapoamka asubuhi na usiku kabla sijalala] video yake itazame kwa muda wako kwa kubofya
3: Boresha Mtindo wa maisha [Life Style]
Kuwa makini katika katika kile unachokiingiza mwilini na matendo pia, Epuka ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, achana na junk foods, pombe isipokuwa mvinyo mwekundu [kama imani yako inaruhusu kunywa kiasi], achana upigaji punyeto kama bado unafanya hivyo kwa kuuminya au kuusugua u**me husababisha kutanua misuri na kuifanya kuwa legevu zaidi na kunywea kuwa kama wa mtotoAcha tabia ya kuangalia picha za ngono
Ziishi hizo kanuni utanipa mrejesho mwenyewe
Labda kwa sababu tatizo hili limekuchosha ungehitaji kupata msaada wa haraka sana bila madhara…..
Una machaguo mawili katika hili pia
1: Kujiandalia tiba lishe mwenyewe hapo ulipo
2:Kuchukua virutubisho asili
Kama chaguo lako ni namba 1 ngoja nikuelekeze
Tiba hii unayoandaa inafaa kwa wanaume wote bila kuwa na madhara hata kama una kisukari, presha au vidonda vya tumbo HAINA MADHARA hivyo usihofu pia unaweza kunitafuta inbox/simu kama una jambo unahitaji kuelekezwa zaidi.
Hebu tuandae sasa
Mahitaji ni Asali mbichi ya nyuki wadogo lita 1. tangawizi kubwa nne au sita [osha, menya kisha katakata vipande], vitunguu saumu ujazo wa glass moja [menya vizuri kuondoa maganda yake], unga wa msamitu vijiko nane, unga wa mdalasini vijiko sita mpaka nane, unga wa habat sawda [black seed] vijiko vinne mpaka sita.
Jinsi Ya Kuandaa:
~Chukua tangawizi zako na vitunguu saumu uweke kwenye blenda kisha usage mpaka vyote viwe laini.
~Weka unga wa msamitu, mdalasini na unga wa habat sawda kwenye blenda kisha taratibu huku ukiwa umewasha blenda mimina taratibu asali mbichi ya nyuki wadogo mpaka lita nzima iishe kwa muda wa kama dakika mbili juisi yako itakuwa tayari
~Zima blenda na uweke juisi yako kwenye kifungashio safi
Matumizi yake, utakuwa ukilamba/kula vijiko viwili asubuhi unapoamka kabla hujala chochote, na usiku utatumia tena vijiko vitatu kabla ya kulala kwa siku 25-30 tu.
Chukua hatua sasa ili kuondoa tatizo hili.
#nguvuzakiume #tendolandoa